Maria Antonia wa Mt. Yosefu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria Antonia wa Mt. Yosefu (maarufu kama Mama Antula; jina la awali kwa Kihispania: Maria Antonia de Paz y Figueroa; Santiago del Estero, 1730Buenos Aires, 7 Machi 1799) alikuwa bikira wa Argentina, mwanzilishi wa shirika la Masista Mabinti wa Mungu Mwokozi.

Papa Fransisko alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Agosti 2016, halafu mtakatifu tarehe 11 Februari 2024.

Sikukuu yake hufanyika tarehe 7 Machi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.