Nenda kwa yaliyomo

Liberata na Faustina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wat. Faustina, Marselo na Liberata, mchoro wa ukutani katika kanisa la Capo di Ponte.

Liberata na Faustina (walifariki Como, Lombardia, 580 hivi), walikuwa dada wawili mabikira Wakristo walioishi pamoja kitawa na kuanzisha monasteri ya Mt. Margerita huko Como, Italia Kaskazini[1] baada ya kukataa kuolewa[2].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari [4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Troletti, Federico. "The continuity between pagan and Christian cult", Scandinavian Society
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-07. Iliwekwa mnamo 2020-04-14.
  3. Catholic Online. http://www.catholic.org/saints/saint.php?saint_id=4277
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.