Yohane na Yakobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane na Yakobo (walifia dini nchini Uajemi, 344) walikuwa askofu na padri waliofungwa mwaka mzima na hatimaye wakauawa kwa upanga kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Shapur II[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.