Honorati wa Buzancais

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Honorati wa Buzancais (alifariki Thénézay, karibu na Poitiers, Akwitania, huko Ufaransa, 1250) alikuwa mfanyabiashara ya mifugo, aliyekuwa akiwagawia fukara pesa zake hadi alipouawa na matapeli aliokuwa amewakanya[1][2].

Alitangazwa mtakatifu na Papa Eugeni IV mwaka 1444.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 9 Januari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Notice historique sur Saint Honoré, Laïque, né à Buzançais (Indre), décapité à Buzay (Deux-Sèvres), vénéré en Berry et en Poitou, par M. l’Abbé Oudoul, curé de Buzançais, auteur de plusieurs ouvrages de Piété, Paris, À la librairie de Piété et d’éducation, 1846.
  • Notice historique sur Saint Honoré de Thénezay ou de Buzançais, par Paul Vigué, prêtre, Poitiers chez Levrier-Bonamy et Rapharin-Jamin en 1908.
  • Parole et Prière numéro 67 de janvier 2016, page 103
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.