Nenda kwa yaliyomo

Ermelandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Ermelandi (pia: Hermelandus, Hermeland, Herblain, Herblay, Erblon, Herbland, Ermeland, Elblan, Erblain, Erblandus, Eurbland; Noyon[1], 645 hivi[2] - karibu na Nantes, leo nchini Ufaransa, 720 hivi[3][4]) alikuwa mmonaki huko Fontenelle chini ya Lambati wa Rouen ambaye alimteua kama mwanzilishi wa monasteri mpya katika kisiwa cha Indre ambayo aliiongoza hadi uzeeni[5].

Kabla ya hapo alikuwa na cheo katika ikulu[6].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Machi[7].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Vita Hermelandi, Wilhelm Levison (éd.), Monumenta Germaniae Historica Scriptores Rerum Merovingicarum, 5, Hanovre-Leipzig, 1910, p.674-710.
  • Paul Guérin, « Saint Hermeland ou Erbland, abbé », in Les Petits Bollandistes. Vies des saints, tome 3, Paris, 1876 (Kigezo:Pdf en ligne sur orthodoxievco.net).
  • Roger Dion (1896-1981), Histoire de la vigne et du vin en France : des origines au Kigezo:S-, Paris, Clavreuil, 1959, 770 p. ; réédition, Paris, Flammarion, 1991 ; réédition, Paris, CNRS, 2010.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.