Nantes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Nantes


Jiji la Nantes
Jiji la Nantes is located in Ufaransa
Jiji la Nantes
Jiji la Nantes

Mahali pa mji wa Nantes katika Ufaransa

Majiranukta: 47°13′5″N 1°33′10″W / 47.21806°N 1.55278°W / 47.21806; -1.55278
Nchi Ufaransa
Mkoa Pays de la Loire
Wilaya Loire-Atlantique
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 804,833
Tovuti:  www.nantes.fr

Nantes ndiyo mji mkuu katika mkoa la Pays de la Loire. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 800,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-52 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nantes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.