Maria wa Msalaba MacKillop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi (1869).

Maria wa Msalaba MacKillop (Melbourne, Australia, 15 Januari 1842 - Sydney, Australia, 8 Agosti 1909) alikuwa sista mwanzilishi mwenza wa shirika la kitawa la Masista wa Mt. Yosefu wa Moyo Mtakatifu ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia hasa wasichana fukara wasio na elimu.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 19 Januari 1995, halafu Papa Benedikto XVI akatangaza mtakatifu tarehe 17 Oktoba 2010[1], wa kwanza mzaliwa wa Australia[2][3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Canonization for Mary MacKillop underway", 17 October 2010. 
  2. "MacKillop has become Australia's first saint", ABC News, 20 December 2009, archived from the original on 29 June 2011, retrieved 19 December 2009  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. "Nun becomes first Australian saint.", Al Jazeera, 17 October 2010. 
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.