Siagri wa Autun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siagri wa Autun (alifariki Autun, leo nchini Ufaransa, 600 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 560[1] na alihimiza elimu ya dini na maadili kati ya mapadri[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 2 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, p. 174-176.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68670
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.