Nenda kwa yaliyomo

Kaliniko wa Gangra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kaliniko wa Gangra (alifariki Gangra, katika mkoa wa Paflagonia, leo nchini Uturuki) alikuwa Mkristo ambaye alichomwa moto kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 29 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.