Nenda kwa yaliyomo

Wiliamu wa Bourges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wiliamu wa Bourges.

Wiliamu wa Bourges (pia: Guillaume de Donjeon; 1140 hivi[1]10 Januari 1209) alikuwa padri ambaye alijiunga na umonaki wa Citeaux na baadaye alipata kuwa abati na hatimaye askofu mkuu wa Bourges kuanzia mwaka 1200 hadi kifo chake.

Alijulikana kwa kuwa na maisha magumu, kwa kuheshimu sana Ekaristi kwa kuwatendea huruma wakleri, wafungwa na fukara[2], tena kwa kuongoa wakosefu wengi, mbali ya miujiza iliyosemekana kutokea akiwa hai na kaburini mwake.

Alitangazwa na Papa Honori III kuwa mtakatifu tarehe 17 Mei 1218.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk 16
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 12

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.