Nenda kwa yaliyomo

Ermili na Stratoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya kifodini chao.

Ermili na Stratoni (kwa Kigiriki: ῞Ερμυλος na Στρατόνικος, kwa Kiserbia: Свети мученици, Eрмил и Cтратоник беогрaдски; walifariki Singidunum, leo Belgrade, nchini Serbia, 303) walikuwa Wakristo waliofia dini yao chini ya kaisari Lisini kwa kuzamishwa katika mto Danube baada ya kuteswa vikali[1]. Ermili alikuwa shemasi.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Januari[2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Their life and martyrdom are found in three variants, the earlier probably released in the late sixth century (according to a study published in the introduction to their lives in Analecta Bollandiana, vol 30, pp. 156 ff., and in Bibliotheca Hagiographica Graeca, N. 744 - 745b). Anyway the five manuscripts of this version are, perhaps from the 10th century. Another biography, which is the current used in the Orthodox churches was processed by Simeon Metaphrastes in his Vitae Sanctorum in the 9th century in Constantinople. It is found in volume 114 of JP Migne's Patrologia Graeca, cols. 554-566. A major study on the three different versions of the biography wrote F. Halkin in Trois textes grecs inédits sur les SS. Hermyle et Stratonice martyrs à Singidunum in Analecta Bollandiana vol 89, 1971, pp. 5-45.
  2. Martyrologium Romanum
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-26. Iliwekwa mnamo 2020-04-10.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.