Nenda kwa yaliyomo

Mansueto wa Toul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika kanisa la Nancy.

Mansueto wa Toul (pia: Mansuy; alifariki 375) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kwa miaka 10 [1][2] [3]. Labda alitokea visiwa vya Britania na aliinjilisha barani kwa miaka 40[4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Dictionnaire d'orfèvrerie, de gravure et de ciselure chrétiennes, (Jacques Rémi A. Texier, 1863).
  2. « Ils sont nos aïeux, les saints de chez nous » - Chanoine André Laurent - Mirecourt - 1980.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68900
  4. "Saint Mansuy, évêque".
  5. "Saint Mansuetus of Toul". catholicsaints.info. Agosti 17, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.