Nenda kwa yaliyomo

Yustina wa Padova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yustina wa Padova
Paolo Veronese, Kifodini cha Mt. Yustina, 1570-1575.

Yustina wa Padova (alifariki 304 hivi BK) anakumbukwa kama bikira wa Padova (Italia Kaskazini) aliyefia Ukristo katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Oktoba.[3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Allen Banks Hinds, M.A. “Saint Justina of Padua”. A Garner of Saints, 1900. CatholicSaints.Info. 20 April 2017
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/73400
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.