Nenda kwa yaliyomo

Arnulfo wa Metz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Arnulfo katika dirisha la kioo cha rangi.

Arnulfo wa Metz (Lay-Saint-Christophe, leo nchini Ufaransa, 582 hivi - Remiremont, 641 hivi) alikuwa mwanasiasa mwenye cheo kikubwa katika ikulu ya Dagobati I, mfalme wa Austrasia[1][2].

Baba wa watoto wawili maarufu, alichaguliwa kuwa askofu wa Metz akashughulikia uchungaji bila kuacha majukumu ya kisiasa.

Hatimaye aliruhusiwa na mfalme kwenda kwa siri kuishi kama mkaapweke karibu na monasteri ya Hamend iliyoanzishwa na rafiki yake Amato[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Julai[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Alban Butler's Lives of the Saints, edited, revised and supplemented by Thurston and Attwater. Christian Classics, Westminster, Maryland.
  • Christian SettipaniLa Préhistoire des Capétiens, Première Partie.
  • Saint ARNOUL – ancêtre de Charlemagne et des Européens, edited by Imp. Louis Hellenbrand. Le Comité d'Historicité Européene de la Lorraine, Metz, France, 1989.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.