Nenda kwa yaliyomo

Krispino wa Pavia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Krispino wa Pavia (alifariki 466[1]) alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kwa walau miaka ishirini [2].

Alishiriki mtaguso wa Milano wa mwaka 451 dhidi ya Eutike[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 20 Desemba 1888[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Januari[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Petri, Prosopographie de l'Italie chrétienne, p. 507
  2. Petri, Prosopographie de l'Italie chrétienne, p. 506. Francesco Lanzoni, Le diocesi d'Italia..., p. 987.
  3. Petri, Prosopographie de l'Italie chrétienne, pp. 506-507.
  4. Index ac status causarum (1999), pp. 432 e 598.
  5. Martyrologium Romanum
  • Il martirologio romano. Riformato a norma dei decreti del Concilio ecumenico Vaticano II e promulgato da papa Giovanni Paolo II, LEV, Città del Vaticano 2004.
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  • Francesco Lanzoni, Le diocesi d'Italia dalle origini al principio del secolo VII (an.604), Faenza 1927.
  • Charles Pietri, Luce Pietri (ed.), Prosopographie chrétienne du Bas-Empire. 2. Prosopographie de l'Italie chrétienne (313-604), École française de Rome, vol. I, Roma 1999, pp. 506-507
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.