Nenda kwa yaliyomo

Kongal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mozaiki ya huko Bangor ikimuonyesha pamoja na wamonaki wenzake.

Kongal (pia: Comhghall, Comgall; Ulster, 515 hivi  – Bangor, 597/602) alikuwa askari wa Ireland aliyegeuka[1] mmonaki padri maarufu kwa kuanzisha monasteri maarufu ya Bangor[2][3] alipolea na kuongoza kwa hekima na busara maelfu ya wamonaki, akiwemo Kolumbani[4], kufuata masharti makali ya kitawa[5][6] hata kupitia kanuni maalumu [7] [8].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Mei[9].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "History of Bangor Abbey", Parish of Bangor Abbey Archived 6 Machi 2015 at the Wayback Machine
  2. MacCaffrey,James (1908). "St. Comgall". In Catholic Encyclopedia. 4. New York: Robert Appleton Company.
  3. Webb, Alfred "Saint Comgall", A compendium of Irish Biography, 1878.
  4. "Venerable Comgall of Bangor", Orthodox Church in America website.
  5. Wallace, Martin (1995). A Little Book of Celtic Saints. Belfast: Appletree Press, pg. 35; ISBN 0-86281-456-1
  6. Butler, Rev. Alban "St. Comgall, Abbot in Ireland", Lives of the Saints, volume V, 1866.
  7. An Old-Irish metrical rule (1904). An anonymous poem concerning the rule of the Lord, or Comgall's rule, written c. 800, transcribed by John Strachan. In Ériu, Volume I (1904). pp. 191–208.
  8. http://www.santiebeati.it/dettaglio/52540
  9. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.