Nenda kwa yaliyomo

Akasi wa Mileto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akasi wa Mileto (alifariki Mileto, leo nchini Uturuki, 321) alikuwa Mkristo aliyeuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Licinius[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Julai[2] au 29 Julai.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92516
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.