Vitesindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali panapotunza masalia yake na ya wafiadini wenzake.

Vitesindi (Cabra, karne ya 9 - Cordoba, Hispania, 855) alikuwa Mkristo wa Hispania, aliyeuawa na mtawala wa eneo hilo, Mohamed I wa Cordoba kwa sababu alikataa kushiriki ibada za Kiislamu akakiri tena imani yake ya awali baada ya kusilimu kwa kukwepa dhuluma [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 15 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Jessica Coope: Martyrs of Cordoba: Community and Family Conflict in an Age of Mass Conversion: Lincoln: University of Nebraska Press: 1995: ISBN 0-8032-1471-5.
  • Kenneth Wolf: Christian Martyrs in Muslim Spain: Cambridge: Cambridge University Press: 1988: ISBN 0-521-34416-6.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.