Paulo, Tata na wanao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paulo, Tata na wanao Sabiniani, Masimo, Rufo na Eujeni (walifariki Damasko, Syria) walikuwa Wakristo walioteswa na hatimaye kuuawa kwa imani yao[1].

Tangu kale Kanisa linawaheshimu kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.