Lodoviko Pavoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Lodoviko katika vazi rasmi la kipadri.

Lodoviko Pavoni (11 Septemba 17841 Aprili 1849) alikuwa padri Mkatoliki wa Brescia (Italia Kaskazini)[1] aliyeanzisha shirika la Wana wa Maria Imakulata ili kumsaidia kulea wavulana fukara kwa kuwafundisha maadili na ufundi[2][3].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Aprili 2002, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Oktoba 2016.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lodovico Pavoni". Holy See. Iliwekwa mnamo 17 June 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Blessed Ludovico Pavoni". Saints SQPN. 1 April 2015. Iliwekwa mnamo 17 June 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90604
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.