Nikolasi Saggio wa Longobardi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Nikolasi katika mchoro huko Campora San Giovanni.

Nikolasi Saggio wa Longobardi (kwa Kiitalia Nicola (Giovanni Battista Clemente) Saggio da Longobardi; 6 Januari 16503 Februari 1709) alikuwa mtawa wa shirika la Waminimi nchini Italia.

Alitambuliwa na papa Pius VI kuwa mwenye heri tarehe 17 Septemba 1786, akatangazwa na Papa Fransisko kuwa mtakatifu tarehe 23 Novemba 2014.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Februari[1].

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Nikolasi anasemekana alizaliwa kwa muujiza katika kijiji cha Longobardi, mkoa wa Calabria, Italia, mwaka 1650.

Nikolasi alifariki Roma mwaka 1709.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.