Campora San Giovanni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Campora San Giovanni mnamo 2009

Campora San Giovanni ni mkato wa Amantea, ya Wilaya ya Cosenza, karibu Wilaya ya Catanzaro, Italia ya kusini. Takriban wakazi 7,200 wanaishi katika mji huo.

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Uchumi wa mji huu unategemea sana kutoka katika kilimo na utalii. Tangu mnamo miaka ya 1950 kulikuwa na maendeleo makubwa kabisa ya ulimaji wa vitunguu vya Tropea, leo hii soko lake linakubalika ndani na hata nje ya nchi.

Miaka 20 iliyopita, ushafirishaji wa bidhaa hizit, zikiwa paomoja na biashara zingine, imewezesha kukuza uchumi wa mjini hapo. Maendeleo yametokana na msaada uliotolewa kijijini hapo kwa kuwapatia njia ya reli, mabarabara, na njia kubwa ya kupitia yenye takriban 8 km sambamba kabisa na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Lamezia (km 25 kutoka kijini).

Padre wa Kanisa Katoliki wa Campora San Giovani tangu mwaka 2005 ni Apollinaris Paul Mashughuli Massawe kutoka Tanzania.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]