Rustiko wa Narbonne
Mandhari

Rustiko wa Narbonne (alifariki Narbonne, Ufaransa, 461 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 427 au 430. Alifanya hivyo ingawa alipenda zaidi maisha ya ndani ya monasteri aliyokuwa ameyafuata huko Lerins.
Kama askofu alishiriki Mtaguso wa Efeso (431)[1].
Baada ya eneo lake kutekwa na Wagothi waliotawaza askofu wa madhehebu yao ya Kiario, alimuandikia Papa Leo I barua ya kujiuzulu, lakini Papa alimhimiza asiache[2]. Hapo alijitahidi kuimarisha Wakatoliki [3].
Mwaka 451, pamoja na wenzake 43, aliunga mkono barua ya Papa Leo I kwa Flaviano wa Kostantinopoli dhidi ya wafuasi wa Nestori.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Benedictines, Encyclopedia.
- ↑ Epistle CLXVII.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/75340
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Ekkart Sauser, Rusticus: hl. Bischof von Narbonne, 1262
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Marrou, Henri-Irenee, "Le dossier epigraphique de l'eveque Rusticus de Narbonne," Rivista di archeologia cristiana 3-4 (1970) pp 331– 349.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |