Yosefu Zhang Dapeng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Yosefu Zhang Dapeng (Duyun, 1754 hivi - Guiyang 12 Machi 1815) alikuwa mlei katekista wa China aliyefia Ukristo kwa kunyongwa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 12 Machi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. Martyrologium Romanum