Simeoni Metafraste
Mandhari
Simeoni Metafraste alikuwa mtunzi wa magombo 10 juu ya maisha ya watakatifu (Synaxarium au menologion)[1].
Aliishi katika nusu ya pili ya karne ya 10, lakini tunajua kidogo sana juu yake.[2]
Waorthodoksi wanamheshimu kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Symeon Metaphrastes". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- ↑ James Carleton Paget (12 Agosti 2010). Jews, Christians and Jewish Christians in Antiquity. Mohr Siebeck. ku. 212–. ISBN 978-3-16-150312-2. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2012.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Leo Allatius, De Symeonum scriptis diatriba (Paris, 1664)
- F. Hirsch, Byzantinische Studien, pp. 303–355 (Leipzig, 1876)
- Albert Ehrhard, Die Legendensammlung des Symeon Metaphrastes (Rome, 1897)
- Römische Quartalschrift (1897), pp. 67205 and 531-553
- Hippolyte Delehaye, "La vie de saint Paul le Jeune et la chronologie de Metaphraste (1893)
- Analecta Bollandiana, xvi. 312-327 and xvii. 448-452.
- C. Høgel: Symeon Metaphrastes. Rewriting and Canonization (Copenhagen 2002)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |