Oliva wa Brescia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oliva wa Brescia (au Olivia) (alifariki 138 au 119) alikuwa mwanamke Mkristo ambaye alifia dini yake chini ya kaisari Hadrian.

Masalia yake yanatunzwa katika kanisa la Mtakatifu Afra huko Brescia (Italia).

Tangu kale anahshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Machi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo ya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.