Nenda kwa yaliyomo

Alberto wa Cashel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alberto wa Cashel (alifariki Regensburg, Ujerumani, 800[1]) alikuwa askofu mwenye asili ya Uingereza, ambaye kwa muda mrefu alikuwa anahiji huko na huko kwa ajili ya Kristo[2].

Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 19 Juni 1902[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Januari[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Fabiano Giorgini, BSS, vol. I (1961), col. 683.
  2. Martyrologium Romanum
  3. Index ac status causarum (1999), pp. 404 e 597.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Stefan Weber: Die Konstruktion eines fabulösen »irischen« Heiligenlebens? Der heilige Albert, Regensburg und die Iren, in: Irische Mönche in Süddeutschland. Literarisches und kulturelles Wirken der Iren im Mittelalter, ed. D. Walz/J. Kaffanke (Lateinische Literatur im deutschen Südwesten 2), Heidelberg 2009, p. 229-304.
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.