Nenda kwa yaliyomo

Felisi wa Sevilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Felisi wa Sevilia (alifariki Sevilia, Hispania, karne ya 4 hivi) alikuwa shemasi mkuu wa Toledo aliyepigwa mijeledi hadi kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Mei[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.