Alfayo na Zakayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfayo na Zakayo (walifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 17 Novemba 303) walikuwa Wakristo ambao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano waliteswa kwa sababu ya imani yao na hatimaye walikatwa kichwa[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 17 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.