Maria Wang Lizhi
Jump to navigation
Jump to search
Maria Wang Lizhi (Fancun, 1851 hivi - Daning, 22 Julai 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Wafiadini wa China
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
![]() |
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria Wang Lizhi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |