Nenda kwa yaliyomo

Habibu wa Edesa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa kifodini cha Habibu.

Habibu wa Edesa (Edesa, leo Şanlıurfa nchini Uturuki, 307 hivi - Edessa, 322) alikuwa kijana shemasi aliyefia imani yake ya Kikristo [1] kwa kuchomwa moto[2] katika dhuluma ya kaisari wa Dola la Roma Licinius[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba[4] au 2 Novemba[5]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Holy Martyrs and Confessors Gurias, Samonas and Abibus, of Edessa Retrieved on 20 Feb 2018
  2. Monks of Ramsgate. "Abibus". Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 2 September 2016
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90957
  4. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
  5. Great Synaxaristes: (Greek) Ὁ Ἅγιος Ἄβιβος ὁ Μάρτυρας ὁ νέος. 2 Δεκεμβρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.]
  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.