Şanlıurfa
Jump to navigation
Jump to search
Şanlıurfa (mara nyingi hujulikana kwa jina lake la kifupi kama Urfa katika lugha za kila siku), zamani ulikuwa ukitajwa kama Edessa au kwa Kiaramaiki]]; Riha au Urhāy, au kwa Kiarmenia Urhai, Kiarabu الرها al-Raha) ni mji wenye wakazi takriban 462,923 (makadirio ya mwaka wa 2006[1]) wa mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Şanlıurfa. Mji upo kilomita themanini kutoka upande wa mashariki mwa Mto Euphrates. Hali ya hewa ya mjini hapa ni ya joto mno, kiangazi kikavu na baridi kiasi. Idadi kubwa ya wakazi wa mjini hapa ni wa Wakurdi wakati maeneo mengine ya kanda kuna mchanganyiko wa Waarabu na Waturuki na idadi ndogo kabisa ya Wazaza, Yezid, Warmenia na Wayahudi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Turkey Population statistics Retrieved on 2009-06-30.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Şanlıurfa Governor's Office (English)[dead link]
- Old and new photos Archived Julai 21, 2006 at the Wayback Machine.
- Sanliurfa Mayor's Office
- Sanliurfa News
- Sanliurfa News Archived Agosti 6, 2018 at the Wayback Machine.
- Urhoy - the mother of all cities in Mesopotamia Archived Novemba 21, 2011 at the Wayback Machine.
- Tourism information is available in English at the Southeastern Anatolian Promotion Project site. Archived Machi 21, 2009 at the Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Şanlıurfa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |