Trabzon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baadhi ya maeneo ya mjini hapa.

Trabzon (Kiarmenia: Τραπεζούντα, Trapezounta) ni mji uliopo katika eneo la pwani ya Bahari Nyeusi kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Trabzon.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mji wa Trabzon, ni mji wa kihistoria wa Barabara ya Hariri, na kuufanya uwe mji wa dini, lugha na utamaduni uliodumu kwa karne kadhaa na ndiyo njia kuu ya kuelekea nchini Iran upande wa kusini-mashariki, Urusi na Kaukazi upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi. Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Venice na Jamhuri ya Genoa hulipa uzuru wa mjini hapa na kuweza kuuza bidhaa zao kama vile hariri, lainin na vivalo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  • Princeton Encyclopedia of Classical Sites eds. Richard Stillwell, William L. MacDonald, Marian Holland McAllister: "Trapezus"
  • Özhan Öztürk (2005). Karadeniz (Black Sea): Ansiklopedik Sözlük. 2 Cilt. Heyamola Yayıncılık. İstanbul. ISBN 975-6121-00-9
  • Bryer, Anthony; David Winfield (1985-03). Byzantine Monuments and Topography of the Pontos (Dumbarton Oaks Studies,20) Two Volume Set. Dumbarton Oaks Pub Service. ISBN 088402122X.  Check date values in: |date= (help)

12. See note 2. Also http://www.csmonitor.com/2007/0126/p06s01-woeu.html, http://www.nytimes.com/2007/02/08/world/europe/08turkey.html?ex=1328590800&en=b1c4ebf924e99da2&ei=5088&partner=rssnyt&emc=rss

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trabzon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.