Nenda kwa yaliyomo

Adana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mko wa Adana

Adana (kwa Kigiriki: Άδανα) ni mji wa Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Adana.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 1,130,710 waishio huko,[1] na kuufanya kuwa mmoja kati ya miji mitano mikubwa katika nchi ya Uturuki (baada ya Istanbul, Ankara, İzmir na Bursa). Mwaka wa 2006 mji wa Adana umekadiriwa kufikia iadadi ya wakazi wapatao 1,271,894.

  1. "GeoHive - Turkey - Administrative units". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-13. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.