Mkoa wa Antalya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Antalya
Maeneo ya Mkoa wa Antalya nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Mediteranea
Eneo: 20,723 (km²)
Idadi ya Wakazi 2,070,663 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 07
Kodi ya eneo: 0242
Tovuti ya Gavana http://www.antalya.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/antalya


Mkoa wa Antalya ni moja kati mikoa 81 ya Uturuki. Mkoa upo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya Mediteranea, kati ya Milima ya Taurus na Bahari ya Mediteranea. Mji mkuu wake ni Antalya wenye idadi ya wakazi takriban 714,000.

Wilaya na miji[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Antalya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.