Mkoa wa Bilecik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Bilecik
Maeneo ya Mkoa wa Bilecik nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 4,307 (km²)
Idadi ya Wakazi 198,809 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 11
Kodi ya eneo: 0228
Tovuti ya Gavana http://www.bilecik.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bilecik


Bilecik ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa umepakana na baadhi ya mikoa mingine kama vile Bursa kwa upande wa upande wa mashariki, Kocaeli na Sakarya kwa upande wa kaskazini, Bolu kwa upande wa magharibi, Eskişehir kwa upande wa kusini-mashariki na Kütahya kwa upande wa kusini. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,307 na jumla ya wakazi takriban 198,809.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Bilecik umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bilecik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.