Mkoa wa Karaman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Karaman
Maeneo ya Mkoa wa Karaman nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 9,163 (km²)
Idadi ya Wakazi 252,377 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 70
Kodi ya eneo: 0338
Tovuti ya Gavana http://www.karaman.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/karaman


Karaman ni jina la mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 9,163. Mji una wakazi wapatao 252,377 (makisio 2006). Kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000, wakazi wa hapa walikuwa kiasi cha 243,210. Mji mkuu wa mkoa huu ni Karaman.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Karaman umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Karaman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.