Mkoa wa Denizli
Mandhari
Mkoa wa Denizli | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Denizli nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Aegean |
Eneo: | 11,868 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 907,558 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 20 |
Kodi ya eneo: | 0258 |
Tovuti ya Gavana | http://www.denizli.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/denizli |
Denizli ni moja kati ya Mikoa ya Uturuki uliopo mjini magharibi mwa Anatolia, nyanda za juu katika pwani ya Bahari ya Aegean. Mikoa ya karibu kabisa na mjini hapa ni pamoja na Uşak kwa upande wa kaskazini, Burdur, Isparta, Afyon kwa upande wa mashariki, Aydın, Manisa kwa upande wa magharibi na Muğla kwa upande wa kusini. Mji upo kati ya ramani hizi za kijiografia 28° 30’ na 29° 30’ E na 37° 12’ na 38° 12’ N. Unachukua eneo za kilomita za mraba zipatazo 11,868, na idadi ya wakazi wapatao 882,938. Hapo awali idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 750,882 kunako miaka ya 1990. Mji mkuu wake ni Denizli.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Denizli umeganyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Denizli Governorship official website Ilihifadhiwa 30 Januari 2004 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Denizli Municipality official website (Kituruki)
- Satellite view Ilihifadhiwa 30 Juni 2004 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
- The Rooster Cock of Denizli Ilihifadhiwa 5 Juni 2004 kwenye Wayback Machine.
- Denizli Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 26 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Denizli Telephone Address Book, Guide Ilihifadhiwa 24 Februari 2020 kwenye Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: