Mkoa wa Malatya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Malatya
Maeneo ya Mkoa wa Malatya nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 12,313 (km²)
Idadi ya Wakazi 923,248 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 44
Kodi ya eneo: 0422
Tovuti ya Gavana http://www.malatya.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/malatya


Malatya ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya Mashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki. Sehemu yake kubwa ni eneo la milima mikubwa sana. Mji mkuu wake ni Malatya. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 12,313. Mkoa huu una wakazi takriban 923,248. Awali walikuwa 853,658 mnamo 2000. Jiji la Malatya lina idadi ya wakazi wapatao 381,081 (2000).

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Malatya umegawanyika katika wilaya 14 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Malatya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.