Mkoa wa Şırnak
Mandhari
Mkoa wa Şırnak | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Şırnak nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 7,172 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 403,607 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 73 |
Kodi ya eneo: | 0346 |
Tovuti ya Gavana | http://www.şırnak.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/şırnak |
Şırnak ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchnii Uturuki. Mkoa una wakazi wapatao 403,607 (makadirio ya 2006). Awali idadi ya wakazi ilikuwa 353,197 na hiyo ilikuwa kunako mwaka wa 2000.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Şırnak umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):
Notes
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Şırnak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |