Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Mandhari
Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia' (Kituruki:Güneydoğu Anadolu Bölgesi) ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi.
Mikoa
[hariri | hariri chanzo]- Mkoa wa Adıyaman
- Mkoa wa Batman
- Mkoa wa Diyarbakır
- Mkoa wa Gaziantep
- Mkoa wa Kilis
- Mkoa wa Mardin
- Mkoa wa Şanlıurfa
- Mkoa wa Siirt
- Mkoa wa Şırnak
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |