Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Diyarbakır

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Diyarbakır
Maeneo ya Mkoa wa Diyarbakır nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo: 15,355 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,494,321 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 21
Kodi ya eneo: 0412
Tovuti ya Gavana http://www.diyarbakır.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/diyarbakır


Diyarbakır ni jin la kutaja mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 15,355 na jumla ya wakazi 1,494,321. Awali idadi ya wakazi wanaoishi hapa ilikuwa 1,362,708 kwa hesabu ya sensa ya mwaka wa 2000.

Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Elazığ kwa upande wa kaskazini-magharibi, Malatya na Adıyaman kwa upande wa magharibi, Şanlıurfa kwa upande wa kusini-mashariki, Mardin kwa upande wa kusini, Batman kwa upande wa mashariki, Muş kwa upande wa mashariki, na Bingöl kwa upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu wake ni Diyarbakır.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Diyarbakır umegawanyika katika wilaya 14 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Diyarbakır kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.