Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kilis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Kilis
Maeneo ya Mkoa wa Kilis nchini Uturuki
Maelezo
Kanda:Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo:1,642 (km²)
Idadi ya Wakazi114,724 (200) TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni:79
Kodi ya eneo:0348
Tovuti ya Gavanahttp://www.kilis.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/kilis

Mkoa wa Kilis umezoeleka kuwa moja ya sehemu za kusini mwa mkoa wa Gaziantep na uliundwa mnamo mwaka wa 1994. Mji wa Kilis ni nyumbani kwa kiasi cha 67% ya wakazi wa mkoani, miji mingine na vijiji ni vidogo sana.

Wilaya za mkoani hapa

[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Kilis umegawanyika katika wilaya 4 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungoi vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kilis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.