Mkoa wa Burdur
Mandhari
Mkoa wa Burdur | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Burdur nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediteranea |
Eneo: | 6,887 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 246,134 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 15 |
Kodi ya eneo: | 0248 |
Tovuti ya Gavana | http://www.burdur.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/burdur |
Burdur ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-magharibi ma nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Muğla na Antalya kwa upande wa kusini, Denizli kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kaskazini, na Isparta kwa upande wa mashariki mwa nchi. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 6,887 na jumala ya wakazi takriban 246,134. Mji mkuu wake ni jiji la Burdur.
Wilayaza mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Burdur umegawanyika katika wilaya 11 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Burdur weather forecast information Archived 23 Aprili 2008 at the Wayback Machine.
- (Kiingereza) Burdur Local Turkish Language news Paper Archived 23 Oktoba 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Burdur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |