Mkoa wa Erzurum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Erzurum
Maeneo ya Mkoa wa Erzurum nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 25,066 (km²)
Idadi ya Wakazi 958,875 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 25
Kodi ya eneo: 0442
Tovuti ya Gavana http://www.erzurum.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/erzurum


Erzurum ni jina la mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Umepakana na baadhi ya mikoa kama vile Kars na Ağrı kwa upande wa mashariki, Muş na Bingöl kwa upande wa kusini, Erzincan na Bayburt kwa upande wa magharibi, Rize na Artvin kwa upande wa kaskazini na Ardahan kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Erzurum.

Wilaya za mkoani hap[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Erzurum umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Erzurum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.