Mkoa wa Yalova
Mandhari
Mkoa wa Yalova | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Yalova nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 847 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 185,266 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 77 |
Kodi ya eneo: | 0432 |
Tovuti ya Gavana | http://www.yalova.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/yalova |
Mkoa wa Yalova ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, kwenye upande wa mashariki mwa pwani ya Bahari ya Marmara. Mikoa inaypakana na mkoa huu ni pamoja na Bursa kwa upande wa kusini na Kocaeli kwa upande magharibi. Mji mkuu wa mkoa huu ni Yalova. Idadi ya wakazi wa moani hapa ni 188,440.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Yalova umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Yalova governor's official website (Kituruki)
- Yalova municipality's official website (Kituruki)
- Yalova Veteriner Kliniği
- Yalova Veteriner
- media kuhusu Mkoa wa Yalova pa Wikimedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Yalova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |