Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Ağrı

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa makala ya mji mkuu wa mkoa huu, tafadhali fungua Ağrı.
Mkoa wa Ağrı
Maeneo ya Mkoa wa Ağrı nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 11,376 (km²)
Kodi ya Leseni: 04
Kodi ya eneo: 0{{{kodi_ya_eneo}}}
Tovuti ya Gavana http://www.ağrı.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/ağrı
Mlima Ararat ulioko ndani ya mkoa wa Ağrı

Ağrı (Kiarmenia: Արարատի) ni jina la mkoa ulilopo mpakani-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Umepakana na Iran kwa upande wa mashariki, Kars kwa upande wa kaskazini, Erzurum kwa upande wa kaskazini-magharibi, Muş na Bitlis kwa upande wa kusini-magharibi, Van kwa upande wa kusini, na Iğdır kwa upande wa kaskazini-mashariki. Jimbo lina kilomita za mraba zipatazo 11,376. Takriban watu 571,243 wanaishi mkoani hapa (sensa ya mwaka wa 2006).

Wilaya zake

[hariri | hariri chanzo]

Ağrı imegawanyika katika wilaya kuu 8 (wilaya kuu imkoozeshwa):

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ağrı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.