Mkoa wa Muş
Mandhari
Mkoa wa Muş | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Muş nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 8,196 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 488,997 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 49 |
Kodi ya eneo: | 0436 |
Tovuti ya Gavana | http://www.muş.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/muş |
Muş (Kiarmenia: Մուշ Mush) ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,196, na wakazi takriban 488,997 (makisio ya 2006). Awali wakazi walikuwa 453,654 mnamo 2000. Aina kubwa ya wakazi wa hapa ni Wakurdi.[1] Mji mkuu wakeni ni Muş.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Muş umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Governor's web site.
- Muş Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 26 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Muş Web Portal (Moush) Ilihifadhiwa 1 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Muş Fotoğrafları - Moush Photo Album Ilihifadhiwa 24 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Muş kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |