Mkoa wa Bayburt
Mandhari
Mkoa wa Bayburt | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bayburt nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 3,652 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 85,455 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 69 |
Kodi ya eneo: | 0458 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bayburt.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bayburt |
Bayburt ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni Bayburt. Idadi ya wakazi ni 85,455 na jumla ya eneo la kilomita za mraba ni 3,652.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Bayburt umegawanyika katika wilaya 3 (mji mkuu umekoozeshwa):