Mkoa wa Niğde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Niğde
Maeneo ya Mkoa wa Niğde nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 7,314 (km²)
Idadi ya Wakazi 331.677 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 51
Kodi ya eneo: 0388
Tovuti ya Gavana http://www.niğde.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/niğde


Niğde ni kaji mkoa kadogo kaliopo vijijini mwa sehemu ya kaskaini mwa kanda ya Kati ya Anatolia huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi kwa mwaka wa 2007 ilikuwa 331.677, ambao wengine 100,418 wanaishi katika jiji la Niğde. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,312. Mikoa ya karibu na mkoa huu ni pamoja na Kayseri, Adana, Mersin, Konya, Aksaray na Nevşehir.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Niğde umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Niğde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.